Tanzania Industrial Research and Development Organization

TANZANIA INDUSTRIAL RESEARCH AND

DEVELOPMENT ORGANIZATION

Hafla ya kufunga mradi wa OKOA MUSHROOMMkurugenzi wa rasilimali watu na utawala wa TIRDO (wa kwanza kushoto) akipata maelezo juu ya uoteshaji wa uyoga, katika hafla ya kufunga mradi wa OKOA MUSHROOM ambao ulikuwa unatekeleza na TIRDOkwa udhamini wa BIO-INOVITE

Bidhaa zilizotengenezwa kutokana na uyoga ili kuliongezea thamani zao hilo.