News
Fursa ya Uwekezaji wa viwanda Handeni Vijijini.
-
2024-07-11 07:55:17
Wataalamu wa TIRDO wakiongozwa na Eng. Ramson (katikati) wametembelea jimbo la Handeni vijijini kujadili uwekezaji katika Viwanda vya Starch, madini ya vito/mapambo ya katani.